Thursday 9 October 2014

NAKAAYA SUMARI ARUDI FULLSWING! NA HII "KITU BLESSING"


Screen Shot 2014-10-09 at 10.37.45 AM

Nakaaya ni staa wa bongofleva ambae ujazo wa jina lake ulitokana na ‘Mr. Politician‘ ambapo baada ya hapo aliendeleza harakati zake kwenye huu muziki mpaka alipopata ajali Arusha ambayo ilimfanya awe kimya kwa muda mrefu.


Nakaaya ambae pia ni mama wa mtoto mmoja alietimiza mwaka mmoja siku chache zilizopita alirudi kwenye muziki baada ya kujifungua na kutoa single ya kwanza iitwayo ‘blessing‘ ambayo ni dedication pia kwa mwanae.




SPECIAL THANKS TO MILLARDAYO.COM

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!