Thursday 9 October 2014

LADY GAGA NA STAILI MPYA SASA AAMUA KUTEMBEA UCHI KABISAA! HUYU MAMA NI MWEHU AISEE!


SUPA STAA LADY GAGA AKIKATIZA MITAANI HANA HABAREE!




Sio Bongo Tu Wasanii Wanatafuta Kiki Kwa nguvu Mbali Hata Huko Marekani Wasanii Wanatafuta kiki Kila siku ili Majina yao yabakie midomoni mwa Watu , Mwanamuziki Mkubwa Lady Gaga Ambae amezoeleka kwa kuwa na vituko vingi awapo jukwaani sasa amehamishia vituko mtaani baada ya kunaswa akitembea akiwa amevaa T-shirt tu bila nguo chini kitu kilichofanya watu kumshangaa kila anapopita....

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!