
Tahadhari: Noti bandia zimerudi kwa kasi (hasa noti yenye thamani ya shilingi alfu kumi. Inashauriwa watu kuwa makini na noti hizo hasa pale unapopata pesa ya kitita kikubwa mitaani
Picha Hii ya chini ni baada ya kuzikabidhi polisi na kuzipanga kwa mafungu ya no zake
Chanzo: JMF













No comments:
Post a Comment