NATIONAL COUNCIL FOR TECHNICAL EDUCATION
Central Admission System
WALIOCHAGULIWA VYUO VYA UALIMU 2014/2015Maelekezo:
Mfumo huu umewekewa vitufe mbali mbali ili kumsaidia muombaji kupata taarifa anazozihitaji kuhusiana na maombi yake (kama amechaguliwa ama la).
Bonyeza viunganishi vilivyowekwa kama "Elimu ya Awali", "Michezo", na "Msingi" (kwa waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu ya Kawaida); au "Sayansi na Hisabati", na "Elimu Maalumu" (kwa waliochaguliwa kujiunga na "Stashahada ya juu ya Ualimu) kisha andika jina, au namba yako ya mtihani ya kidato cha nne kwenye kiboksi cha "Search" na moja kwa moja utaweza kuona kama jina lako liko kwenye orodha ya waliochaguliwa au hapana.
PIA UNAWEZA KUTEMBELEA TOVUTI YA NACTE. http://www.nacte.go.tz/
No comments:
Post a Comment