Thursday, 4 September 2014

KIJIJI CHA NOUSHAD BAITRAIS CHA TEKETEA KWA MOTO HUKO ZANZIBAR


Hali ndiyo hilikuwa hivi huko Zanzibar katika kijiji cha Baitrais kinachomilikiwa na Noushad aliekuwa mfadhili wa timu ya Malindi ya Unguja. Kwa wale wakazi wa Bububu wanaweza kupata taswira ya kijiji hicho cha Baitrais kwani kilikuwa barabarani ukielekea Bububu.

Chanzo cha moto huo kinasemekana kuwa ni shoti ya umeme

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!