Saturday, 13 September 2014
FAIDA ZA HENNA KWENYE NYWELE
Baada ya kuweka Henna kwenye nywele nyeusi, matokeo yaliyopatikana ni kama hivi! red and reddish highlights.
HENNA KWENYE NYWELE INAFANYA NYWELE ZAKO KUWA IMARA, NA PIA INA ANTI FUNGAL INAYOZUIA MBA(DANDRUF), PAMOJA NA KUFANYA RANGI NZURI KWENYE NYWELE HENNA PIA INAFANYA NYWELE ZISIJIFUNGE(DETANGLE)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment