Sunday, 21 September 2014

DIAMOND AAHIDI KUMFANYIA DADA YAKE PARTY KUBWA YA KUMPONGEZA KWA KUFUNGA NDOA



Ni habari mpya ya mjini kwa sasa, ndoa ya Dada wa Diamond na kipenzi wa Wema petiti man wakuache, amabapo uhusiano wao ulioanza kama utani hatimae umezalisha kile amabacho wengi hawakukitegemea kama kingekuwa mapema hivi... Tunawatakia maisha mema ya ndoa na baraka tele.
Kuhusiana na Hilo Mdogo wa bibi harusi Msanii Diamond Platnumz ameahidi kumfanyia Bonge la Party ambayo itakuwa ya kihistoria hapa nchini, alibainisha jambo hilo kupitia Ukurasa wake wa Instagram kwa Kuandika Post yenye Maneno Haya::
Esma Platnum
Mwenyez mungu aendelee kukusmamia na kukuongoza katika kila la kheri na jema ulifanyalo.... Mdogo ako still niko mbali nahangaika na maisha... japo skuwepo lakini amini nafsi na roho yangu ilikuwepo... Get ready for your present, na History party!!! love you my beautiful & luvly sis�� @esmaplatnum

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!