Mabasi hayo yakiwa yamegongana
Basi la Jumanne lililokuwa linatoka Sirari kwenda Mwanza limegongana uso kwa uso na basi la Mwanza coach lililokuwa linatoka Mwanza kwenda Musoma. Ajali imetokea katika eneo la daraja la sabasaba, Musoma. Endelea kufuatilia
Maelezo kwa Mujibu wa Father Kidevu blog
Mahututi wakikimbizwa wodini
wanainchi wakiwa kwenye simanzi |
Watu wakitambua miili ya marehemu
Basi la Mwanza coach limepata ajali eneo la sabasaba likiwa njiani kuelekea mwanza na kuua watu zaidi ya 30 na majeruhi wengi,Taarifa kamili inakujia punde kaa nasi.Picha na Shomari Binda
No comments:
Post a Comment