Hawa ni raia wa Ephiopia ambao walikamatwa Makambako Njombe jana |
hapa wakipata chai baada ya kukamatwa |
Hivi ndivyo walivyokuwa wakiishi katika lori hilo |
Hili ndilo lori lililokuwa likiwasafirisha na dereva wake kukimbia |
Ofisa uhamiaji Njombe akiwapa chai wahamiaji hao |
Chanzo francis Godwin Blog
1 comment:
aziz bilal's profile photo
aziz bilal22:10
1
Reply
Hivi sasa Tanzania ndiyo stop over ya Waethopia na wasomali wanaokimbilia nchi za kusini mwa Afrika,kwa wao siku hizi deal ni kupitia bongo na kupata connections zote za kufika southern.
Post a Comment