Friday, 15 August 2014

PICHA YA MUME WA FLORA MBASHA NA MSANII WA BONGO MOVIE YAZUA SINTOFAHAMU!



Msanii wa bongo movie anayejulikana kwa jina la Irene Paul amepost picha akiwa na mume wa Flora Mbasha na kuzua minong'ono miongoni mwa mashabiki ambao wengi wameenda mbali na kudai kuwa wawili hao ni
wapenzi kwa sasa na hasa wakichelea matatizo yz ndoa ya Mbasha. Hata hivyo Irene Paul hakuweza kuwajibu mashabiki wake hivyo wengi kubaki njia panda

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!