UKIACHANA na Mlima Kilimanjaro, Ngorongoro na hata madini ya Tanzanite, je, wajua kuwa Tanzania ina utajiri ambao ungekuwa kivutio kingine kwa watalaa nchini.
Kivutio hicho kama kingekuwa hapa nchini ni mabaki ya wanyama aina ya mijusi wakubwa wa walioishi mamilioni ya miaka iliyopita (waitwao dinosaurs) hapa nchini ambaye alichukuliwa na kupelekwa na wakoloni huko Ujerumani? Sehemu ambako mabaki hayo yamehifadhiwa
Mabaki hayo mjusi yalipatikana mwaka 1912 na kusafirishwa kwenda kuhifadhiwa Ujerumani enzi zile za ukoloni. Hivi leo serikali ya Tanzania inafanya michakato ya kuirudisha hifadhi yetu hiyo na mazugumzo yanaendelea. Mjue ni mjusi wa aina gani na amehifadhiwa mahali gani?
Bofya hapa.http://issamichuzi.blogspot.com/2011/07/germany-to-return-dinosaur-...
Bofya hapa.http://issamichuzi.blogspot.com/2011/07/germany-to-return-dinosaur-...
No comments:
Post a Comment