Thursday, 28 August 2014
DIZAIN MBALIMBALI ZA MAJIKO, PATA IDEA YAKUDIZAIN JIKO LAKO..
Staili hii ya jiko ni nzuri kama una nafasi kubwa ya kutosha!
Hata kama jiko lako lina nafasi ndogo unaweza kudizain, kwa kuweka vitu vichache muhimu, na rangi zinazofanana kama picha inavyoonyesha!!
Hapa pia ni Kwa jiko lenye nafasi ndogo!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment