Tuesday 22 July 2014

TAARIFA YA POLISI KUHUSU VIUNGO VYA BINADAMU VILIVYOPATIKANA BUNJU

Photo: Viungo vya binadamu (idadi kubwa) vyaokotwa Bunju-Machimbo

- Hali ya taharuki yatawala huku Polisi wakivichukua viungo hivyo kwa uchunguzi

Taarifa kwa undani, fuatilia => http://bit.ly/UnkeVk
Kama mfuatiliaji wa mitandao ya kijamii kuanzia usiku wa July 21 kulisambaa taarifa na picha zinazoonyesha viungo mbalimbali vya binadamu ambavyo vilitupwa katika daraja la Mpiji.


Kamanda wa Polisi mkoa wa kipolisi Kinondoni ameongea na Power Breakfast ya Clouds Fm na kusema>>’Kweli tumekwenda tumevikuta viungo mbalimbali vya binadamu kama mikono,miguu,vichwa na viungo vingine’
‘Lakini vipo ndani ya mifuko ya sulphet na iko mifuko kama 80 hivi lakini tumechukua viungo hivyo na kuvipeleka hospital ya Muhimbili kwanza kuhifadhi na kwa ajili ya uchunguzi Mpaka sasa hakuna mtu aliyekamatwa’
Bonyeza play kumsikiliza kamanda wa polisi mkoa wa kipolisi kinondoni Kamilius Wambura

VIA-MILLARD AYO.COM

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!