Wednesday, 9 July 2014

MASHABIKI BRAZIL WACHOMA MOTO BASI


Basi lililochomwa na mashabiki wa Brazil waliokuwa na hasira likiteketea kwa moto.

Vikosi vya zimamoto vikijaribu kuzuia moto huo.
Taswira baada ya basi hilo kuteketea kwa moto.
Polisi wakimdhibiti shabiki huko Belo Horizonte baada ya mechi ya nusu fainali.
Mashabiki wa Brazil wakiwa na majonzi baada ya kipigo cha 7-1.
BAADA ya kubugizwa mabao 7-1 na Ujerumani katika mechi ya nusu fainali ya Kombe la Dunia 2014, mashabiki wa Brazil wameamua kuchoma moto basi.
Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo huko Sao Paulo nchini humo baada ya mechi hiyo iliyopigwa Belo Horizonte.
Mashabiki walichukua hatua hiyo kutokana na hasira za timu yao kuondolewa katika michuano hiyo inayofanyika nyumbani kwao

1 comment:

Anonymous said...



aziz bilalYesterday 18:22


1
Reply

Sijui itasaidia nini kuchoma bus lisilokuwa na hatia yeyote ile,hiyo haiwezi kubadilisha matokeo ya kufungwa mabao saba kwa moja,tayari history imekwisha chukua mkondo wake,tatizo la watu wa Brazil hawakutaka kumsikiliza legend Pelle ushauri aliotoa dhidi ya hiyo timu yao ya taifa na sasa wamekiona alichowaambia nguli huyo

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!