Wednesday, 9 July 2014

JUST IN:MKURUGENZI WA SWEET FM MBEYA EMANUEL JOSEPH MBUZA AFARIKI DUNIA USIKU WA KUMKIA LEO




EMMANUEL JOSEPH MBUZA. Mhitimu wa sangu High school(2007), aliewahi kua Mfanyakazi wa Mbeya FM na generation FM, LLB & MBA Tumain university, Kijana mjasiliamali na mpiganaji, Katibu mwenezi wa mbeya mjini, Mkurugenzi wa Sweet fm Radio, Sweet Televission na Action Mart Group of companies (Mzaliwa wa mbeya aliekua anafanya biashara zake jijini Dar es salaam) Amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, Mipango ya mazishi inafanyika kwa kaka yake tabata-Dar es salaam. 

Tutaendelea kuwapa Taarifa.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!