Thursday 29 May 2014

WALIOMUUA KIKATILI" DEREVA WA BODABODA WAFIKISHWA MAHAKAMANI
















Jeshi la Polisi Wilayani Mpanda Mkoa wa Katavi linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kumuuwa Bodaboda mmoja aitwaye Frenk Joseph (25)mkazi wa mtaa wa Nsemlwa Wilayani Mpanda Mkoa wa Katavi kwa kumchinjashigo na kisha kumpola pikipiki yake aina ya SANLG yenye namba za usajiri T 704 CDQ Kamanda wa jeshi la Polisi wa Mkoa wa Katavi Kamishina msaidizi mwandamizi Dhahiri Kidavashari aliwataja watuhumiwa hao kuwa ni Charles Kidaha(29),Madia Mtema (40) na Buyenza Jendesha (40) wote wakazi waTarafa ya Mwese Wilayani Mpanda.

HIVI NDIVYO DEREVA WA BODABODAALIVYOUAWA KINYAMA, NA VIJANA HAO PICHANI....KUMRADHI KWA PICHA ...




No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!