Saturday, 19 April 2014

RAY C KUANZA KUTENGENEZA KIPINDI CHAKE KIPYA CHA TV!

rayHii ni hatua nyingine kwa Ray C ambapo baada ya kutangaza project ya kuwasaidia watu wanaotumia madawa ya kulevya kwa sasa Ray C ameanza utengenezaji wa kipindi chake kipya cha Tv ambacho kakipa jina la Pamoja Inawezekana.


raycIngawa hajasema ni kituo gani kitakachoonyesha hiki kipindi lakini kwa picha za mwanzo zinamuonyesha akiwa anamhoji brother toka Bongo Movie Jacob Steven ‘Jb’ 
CRD: MILLARD AYO.COM

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!