Rapa Joniko Flower akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) huku wenzake wakisebeneka ndani ya kiota cha Thai Village Ijumaa iliyopita pamoja na Ijumaa zingine za kila wiki.
Mdau wakijiachia na mrembo wa kizungu...Chezea Skylight Band wewe....ni Balaaa!
Mashabiki wakila raha za Skylight Band! Mguu wa kushoto mbele wa kulia nyuma........!
Sam Mapenzi wa Skylight Band akitoa burudani kwa mashabiki wa bendi hiyo sambamba na Joniko Flower, Mary Lucos pamoja na Sony Masamba Ijumaa iliyopita kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
Watuache sie kwa raha zetu...warembo wakisakata burudani ya Skylight Band.
Aneth Kushaba AK47 na Winfrida Richard wa Skylight Band wakiwapa raha wapenzi wa bendi hiyo Ijumaa iliyopita ndani ya ukumbi wa Thai Village.
Pale mzungu asiposikia la mwazini wa la mnadi sala......burudani ikikolea basi tena......Skylight Band iko juu...!
Hashim Donode na Winfrida Richard wakifanya yao jukwaani kuhakikisha mashabiki wao wanapata burudani adhimu.
Palikuwa hapatoshi...Tukutane tena leo jioni kuanzi saa 21:30 usiku.
Petit Money akishow love na star wa Bongo Movie Jacqueline Wolper a.k.a Wolpergambe ikiwa ni mara yake ya kwanza kushuhudia burudani ya Skylight Band.
Gelly wa Rhymes akipata Ukodak na Sister wake All the way from Sweden.
Gelly wa Rhymes pamoja na Dully Sykes a.k.a Mr. Misifa wanakwambia kitambi noma.....ndani ya kiota cha Thai Village Ijumaa iliyopita.
All the way from Mwanza......DVJ Frank wa Club Jembe ya Skylight Beach Resort ya jijini Mwanza (mwenye ya mistari) wakipagana Ukodak wa kumbukumbu na marafiki zake walipokuja kula bata na Skylight Band.
Mdau Neema Mbuya alikuwa anasheherekea siku yake ya kuzaliwa na kujumika na Skylight Band Ijumaa iliyopita, akiwa ameambatana na msururu wa warembo waliowahi kushiriki taji la Miss Tanzania miaka iliyopita.
Birthday Girl Neema Mbuya (kulia) na marafiki zake ndani ya Thai Village.
Birthday Girl Neema Mbuya akiimbiwa na marafiki zake pamoja na Skylight Band wakati wa kukata cake.
Birthday Girl Neema Mbuya awalisha mashosti zake.
Usikosee Ijumaa hii unakosa kuosha macho na warembo wa ukweli...
No comments:
Post a Comment