Habari zilizotufikia basi la kampuni ya Japanese Express linalofanya safari zake kati ya Makete - Njombe, limetumbukia kwenye mto eneo la Lwamadovela wilayani Makete
Basi hilo lilikuwa likitokea Njombe kuja Makete na ajali hiyo imetokea majira ya saa 11 jioni kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo
Wapo baadhi ya abiria waliojeruhiwa na kukimbizwa katika hospitali ya Ikonda Consolata
Taarifa kamili ya ajali hiyo pamoja na picha zitakujia baadae.......
CRD: EDDY BLOG
No comments:
Post a Comment