Monday, 31 March 2014

WAKATI MWINGINE NATAMANI KUHAMA NCHI, LAKINI NI LAZIMA NIWAPIGANIE NA WENZANGU JOSEPHAT TORNER NA FILAM ILIYOTUTIA AIBU WATANZANIA DHIDI YA MAUWAJI YA ALBINO

Akiongea na Sophiembeyu blog, Mlemavu wa ngozi Josephat Torner, alieleza masikitiko yake juu ya mauwaji ya Albino yanayoendelea kufanyika nchini, amesema ni wachache walioweza kuelimika kuhusu suala hilo la uuwaji wa Albino Tanzania, na amewaomba watanzania kuwa na ushirikiano wa kuweza kuwaelimishana ili vitendo vya  kinyama na ukatili dhidi ya Albino , viweze kukomeshwa..


Bwana Josephat pia aliiomba Serikali kutilia mkazo na kuliangalia upya suala hili, kwani vitendo hivyo bado vinaendelea kufanyika kwa kasi pamoja na kuwa wapo waliochukuliwa hatua kuhusiana na vitendo hivyo, lakini pia wapo ambao bado wanaendelea kuwakosesha amani walemavu hawa kiasi cha kuwafanya wasiwe na uhakika wa maisha yao pamoja na kwamba tayari maisha yao ni ya tabu,Ameongeza kuwa kutokana na kutopata huduma muhimu na uangalizi wa kutosha wamekuwa wakiiishi kwa kubahatisha,na katika mazingira magumu kutokana na wengi wao kukosa matunzo.



KWA YEYOTE MWENYE KUGUSWA NA KUTAKA KUSAIDIA  SOMA MAELEZO HAPO CHINI....
General Information
The Tanzania Albinism Society asks for your support in protecting and empowering People with Albinims in Tanzania. There are different ways you could help us.

- Goods for women, men and children with Albinism

Sun protection products:
• sun screen SF 30+
• sunglasses
• sunhats
• sun protective clothing: long sleeved shirts, long pants, long dresses
• brimmed sun hats to shade both face and neck (no baseball caps please)
• lip balm / chapstick
• umbrellas
Low vision aids:
• Small hand held magnifiers
Supplies for school kids:
• backpacks, pens, pencils, paper and exercise books

- Donations

Sometimes it is less expensive to buy necessities locally and we cover all kinds of help for people with Albinism as they mostly live in extreme poverty.
You can donate with PayPal or credit card via this link:

www.tinyurl.com/BetterplaceTAS

You can also donate via bank transfer:
Name account: Chama Cha Albino Tanzania (=Tanzania Albino Society)
Address: Ocean Road Cancer Institute, Lithuli St., Dar es Salaam, Tanzania
IBAN: 2012533734
BIC/SWIFT Code: NMIBTZTZ
Name of Bank: National Microfinance Bank

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!