Monday 31 March 2014

PICHA NA MATUKIO, RAIS KIKWETE ALIPOKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO NCHINI UINGEREZA

Mhe. Rais Jakaya Kikwete akiambatana na mkewe mama Salma Kikwete na viongozi mbalimbali wa kitaifa kwenye mkutano wa Watanzania nchini Uingereza siku ya Jumapili March 30, 2014 katika ukumbi wa uwanja wa Wembley.

Mhe. Rais Jakaya Kikwete pamoja na Waziri wa  mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Mhe. Bernard Membe wakipitiapitia mambo mawili matatu kwenye karatasi zao kabla Mhe. Rais Jakaya Kikwete hajazungumuza na Watanzania nchini Uingeraza siku ya Jumapili March 30, 2014 katika ukumbi wa uwanja wa Wembley.
Mama Salma Kikwete akiwa meza kuu alipokuwa kwenye mkutano wa Mhe. Rais Jakaya Kikwete alipozungumuza na Watanzania nchini Uingereza siku ya Jumapili March 30, 2014. katika ukumbi wa uwanja wa Wembley.

Mhe. Rais Jakaya Kikwete akiongea na Watanzania nchini Uingereza siku ya Jumapili March 30, 2014.
Watanzania na viongozi mbalimbali wa kitaifa wakifuatilia hoyuba ya Mhe. Rais Jakaya Kikwete alipokua akiongea na Watanzania nchini Uingereza.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Picha na Ally Muhdin U

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!