Monday, 17 March 2014

NYUMBA ZA ASKARI WA JESHI LA POLISI TANGA ZATEKETEA KWA MOTO

 
Nyumba za Askari wa jeshi la polisi zilizopo eneo la Chumbageni nyuma ya kituo cha polisi kikuu cha Chumbageni jijini Tanga zikiungua moto. Hahdi sasa chanzo cha moto huo pamoja na athari zake havijajulikana





Askari wa kikosi cha Zimamoto wakiwa kazini
Mkuu wa wilaya ya Tanga Mh.Halima Dendegu akiwasili katika eneo la tukio
Mh.Halima Dendegu akishuhudia ajali ya moto huo katika nyumba za polisi Chumbageni,jijini Tanga hapo jana 
Wananchi wakishuhudia na kusaidia vikosi vya zimamoto katika uzimaji moto huo.
Baadhi ya vitu vilivyookolewa katika ajali ya moto

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!