Madereva Bajaj na bodaboda wakiwa nje ya ofisi za Makao Makuu yaChadema, Kinondoni jijini Dar wakipinga tamko la kuzuiwa kuingia katikati ya jiji.
Mmoja wa madereva Bajaj akiongea na vyombo vya habari nje ya ofisi za Chadema.
Nia ya maandamano hayo ni kupinga tamko linalowataka kutopeleka abiria maeneo yote ya katikati ya jiji la Dar.
Mmoja wa madereva hao, akiongea na wanahabari alisema kwamba wameamua kuandamana mpaka ofisi za Chadema kwa kuwa wanaamini ndio watapata msaada wa tatizo lao.
No comments:
Post a Comment