Hata kama akifa kesho....Huyu ndio msanii Diamond anamuaminia kuipeperusha bendera ya Tanzania kimuziki.
"Moja ya watu ambao naamini hata NIKIFA kesho, Roho yangu itakuwa na amani ya kuamini kwamba kuna mtu ambae anaipeperusha vyema bendera ya Nchi yangu kupitia muziki... you jus call him Ommy Dimpoz ila wacha mi nimuite Kibonde"
Haya ni maneno ya Msanii Diamond Platinumz
No comments:
Post a Comment