
mdau Salim Kikeke
Kama una Chakula kwenye fridge yako, Nguo mwilini mwako, Paa juu ya kichwa chako na sehemu ya kulala,
Wewe ni tajiri zaidi ya 75% ya watu dunia nzima!
Kama una hela kwenye pochi yako na unaweza kwenda popote utakapo,Wewe ni mmoja kati ya 18% ya .watu matajiri wa juu duniani.
Kama upo hai leo na afya zaidi ya maradhi, Umebarikiwa zaidi ya watu milioni ambao hawatamaliza hii wiki bila ya kufa.
Kama unaweza kusoma huu ujumbe na kuuelewa Una bahati zaidi ya watu bilioni 3 duniani ambao hawawezi kuonakusoma ama wana ugonjwa wa akili.
Maisha sio kulalamika maumivu na huzuni.
Ni kuhusu sababu nyingine
nyingi sana za kumshukuru muumba wetu.
MSHUKURU MUNGU WAKO KWA YOTE













No comments:
Post a Comment