Wednesday, 15 January 2014

RAIS KIKWETE AMTEMBELEA HOSPITALINI WAZIRI MKUU MSTAAFU CLEOPA DAVID MSUYA NA WAZIRI HAROUN ALI SULEIMAN WA SMZ

 
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete  wakimjulia hali Waziri wa nchi Afisi ya Rais Kazi na Utumishi wa Umma wa Serikali ya Mapinduzi  ya Zanzibar(SMZ) Bwana Haroun Ali Suleiman aliyelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam, Jana (Jumapili)(picha na Freddy Maro
 
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Waziri Mkuu Msaafu Mzee Cleopa David Msuya aliyelazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili jana(jumapili) jijini Dar es Salaam(picha na Freddy Maro

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!