Thursday 23 January 2014

HALI YA MWIGIZAJI MKONGWE BLANDINA CHAGULA(JOHARI) SI NZURI AMELAZWA HOSPITALI

Mwana Dada na mwigizaji mkongwe Blandina Chagula maarufu Johari ni mgonjwa na amelazwa katika moja ya hospitali maarufu hapa jijini.
Kwa mujibu wa blogu ya mwigizaji Deogratious Shija, ndugu wa karibu wa Johari ameshindwa kuweka wazi ni hospitali gani ambayo Johari amelazwa na kusema kuwa wanashindwa kusema mahali alipolazwa Johari kutokana na usumbufu wa waandishi wa habari " kwakweli Johari anaumwa sana na tunaomba dua zenu tu" Alisema ndugu huyo wa johari. Jamani tumumkumbuke katika dua muigizaji huyu na wagonjwa wengine wote mahospitalini. Ameni
HABARI HII IMELETWA  KWA HISANI NA BONGOMOVIE..

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!