Saturday 25 January 2014

AJALI MBAYA YATOKEA MKOANI KILIMANJARO


Ajali ya kutisha yatokea maeneo ya KIA jirani na kampuni ya kusaga kokoto ya konoike au njia panda ya kwenda uwanja wa ndege wa Kilimanjaro International Airport watu zaidi ya 67 wote wamejeruhiwa vibaya japo hakuna aliye fia hapo ila hali zao ni mbaya hasa madereva na
makonda wote.

Ni baada ya Semi kugonga gari la kampuni ya LM Fusso

KWA HISANI YA MASAI NYOTAMBOFU...

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!