Wanawake toka visiwa vya Unguja na Pemba wameandamana kupinga wanawake wa kutoka Tanga kuwaibia wanaume zao. Wanawake hao wamedai waume zao wakinaswa kwenye mapenzi kwa wanawake toka Tanga basi waume zao wanazamia moja kwa moja na kusahau wake zao majumbani.
Wameandamana kupinga kuibiwa waume zao na wanawake wa kitanga ambao kwa hivi sasa wameibukia unguja.
wanaitaka jamii iwaonye waache kuwaiba waume zao.....mapenzi yalianzia Tanga ....waunguja wanahofia hali ikiendelea waume zao hawatoonekana home na pia machotara wengi wataongezeka
......waume zetu msiwaguseeee...TENA mtukome mrudi kwenuuuuu

No comments:
Post a Comment