Friday 27 December 2013

OPERATION TOKOMEZA...HII NI SABABU MOJAWAPO ILIYOSABABISHA BAADHI YA MAWAZIRI KUFUKUZWA....



Like Sabibo Camp like Operesheni Tokomeza. Na hii ni just a drop of ice berg... 
Hivi unaweza kujiuliza kwenye hizo kambi vingapi hatujavijua vilifanyika? Kama hadi sasa, kwa mujibu wa  taarifa ya kamati wanaume walilazimishwa kufanya mapenzi na miti hadi wamalize haja zao na mengine mengi.... 


Shameful condition...but they should know exactly, no condition is permanent (The State of Africa; A History of Fifty Years of Independence [Martin Meredith].

2 comments:

Anonymous said...


Godbless G. Minja1

Completely unfair.

·

Ernest Dickson2

Daaaah kama soweto or escape from sobibo! Mungu wangu tutafika kweli



Magiri paul via Google

Hali ilivyokuwa wakati wa operesheni Tokomeza chini ya jeshi la ulinzi

Anonymous said...

Ernest Dickson2

Daaaah kama soweto or escape from sobibo! Mungu wangu tutafika kweli

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!