skip to main |
skip to sidebar
WASHIRIKI WA TANZANIA TOP MODELS WAHAMIA GIRAFFE OCEAN VIEW HOTEL
Wanamitindo wanaoshiriki shindano la Tanzania Top Models, jana walihamia Giraffe Ocean View Hotel kuendelea na Kambi yao iliyoanza 7/11/2013. Kwenye picha hizi wanaonekana wakielekea kwenye ukumbi wa Jetty kuendelea na mazoezi yao
No comments:
Post a Comment