

Maadhimisho haya yalifanyika tar 14 mwezi huu, siku ambayo huadhimishwa siku ya kisukari duniani.. maadhimisho haya yamefanywa na umoja wa wanafunzi wa udaktari TAMSA (Tanzania association of medical students) kupitia tawi la SFUCHAS (St francis university college of health and allied science) kilichopo ifakara morogoro
Maandamano hayo yalikuwa na lengo la kufikisha ujumbe na kuwataarifu wananchi kushiriki siku hii ambapo huduma za kupima sukari zilitolewa bure kupata ushauri jinsi ya kujikinga na ugonjwa huo, ambao ni umekuwa ni tatizo kubwa nchini.

Umoja wa wanafunzi wa udaktari pamoja nakatibu wa tanzania diabetes association dr Mushi.


Wananchi wengi walijitokeza ili kupata huduma hiyo ya upimwaji kisukari ambayo ilitolewa bure.
Mshiriki akipata ushauri baada ya kufanyiwa vipimo.
Na mwandishi wetu Mohamed Mwingira.













No comments:
Post a Comment