Wednesday, 20 November 2013

PICHA ZAIDI ZA HOTELI YA MANTA RESORT ILIYOKO CHINI YA MAJI HUKO PEMBA ,CHUMBA NI DOLA 900-1500 KWA USIKU MMOJA

 
Kile kitu unachokiona kwa mbali katikati ya maji ndio hoteli yenyewe
 
Bi dada ambaye ni mteja wa hotelini hapo akipelekwa chumbani kwak
 
hapo unapata upepo mwanana,  sasa najiuliza hapa beach unafika na ngalawa ama ndio unaogelea toka chumbani kwako mpaka hapo beach? 
Chumbani humo...  sasa hapa mteja anaingia chumbani, nadhani inabidi aingilie dirishani, maana hata mlango mi siuoni.....mmh wataenda hao wazungu sina uhakika kama kuna mweusi watathubutu!

Mteja akicheza na samaki nje ya chumba chake.
chumba kionekanavyo kwa ndani..
Mteja akiangalia mandhari ya nje akiwa kutoka ndani ya chumba chake

 
Chumba ndo hiko, unaweza toka chumbani kwako ukapanda juu ....
 
Mteja akiwa juu ya chumba chake na mwingine anaenda kuvua samaki...
Picha kwa hisani ya mange kimambi.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!