Sunday, 24 November 2013

ONYINYE APATIKANA BONGO APEWA PETE YA BEI MBAYA NA P SQUARE



Mrembo aliyechunukiwa na Peter akiwa jukwaani baada ya kuitwa na kujitokeza


....akinyoosha mkono


...akivishwa saa ya bei mbaya na Peter, ambaye alisema ameoa Nigeria wiki iliyopita na Bongo anaoa pia.....


....sogea nikubusu my 'Beautiful Onyinye....!


....mmmwaaaa!!!


....ni kama anamnong’oneza ‘jamani Peter wewe si unanitafutia balaa na mkeo’....hahahahaha!!!



....this is my beautiful Onyinye oooo!! 


".....oooo 'tank' you 'tank' you my Onyinye....

picha kwa hisani ya GPL.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!