
Miss Universe Tanzania 2013, Betty Omara.

Mashindano ya 62 ya urembo ya Miss Universe yanatarajiwa kufanyika leo usiku katika Ukumbi wa Crocus City, Krasnogorsk, Moscow nchini Urusi .
Olivia Culpo, Miss Universe 2012 kutoka Marekani atamvisha taji mrithi wake atakayeshinda katika shindano hilo litakalowashindanisha warembo kutoka nchi 86.
Mwaka huu, Tanzania inawakilishwa na mrembo Betty Omara













No comments:
Post a Comment