Monday, 14 October 2013

TUTAKUKUMBUKA DAIMA BABA WA TAIFA

 

Mwalimu Julius Kambarage Nyerere enzi za uhai wake.
Ni miaka 14 sasa tangu ulipotutoka Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Daima tunakukumbuka kutokana na hekima na busara zako pamoja na kudumisha Umoja, Amani na Mshikamano kati yetu Watanzania...

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!