![]() |
| Baadhi ya ndugu wa marehemu Anthery Mushi wakilia kwa uchungu walipokuwa wakitoa salamu za mwisho Muhimbili leo. |
![]() |
| Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa Marehemu Anthery Mushi wakiwa na majonzi katika Hospitali ya Muhimbili. |
![]() |
| Ndugu wakipita kuaga mwili wa Anthery Mushi. |
![]() |
| Gari lililosafirisha mwili wa marehemu kutoka Dar es Salaam hadi Kijijini Uru, Timbirini Mkoani Kilimanjaro likiingiza mwili huo tayari kwa safari hiyo. |
![]() |
Ni vilio, simanzi na majonzi kwa wanandugu wa Mushi. |




















No comments:
Post a Comment