Monday, 28 October 2013

RAIS KIKWETE AAGANA NA BALOZI WA PAKISTANI NCHINI ALIYEMALIZA MUDA WAKE

pa10

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Balozi wa  Pakistan nchini Mhe Tajammul Altaf aliyefika Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 26, 2013 kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kufanya kazi.(PICHA NA IKULU).
 pa5
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Balozi wa Pakistan nchini Mhe Tajammul Altaf aliyefika Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 26, 2013 kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kufanya kazi

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!