KWA MAONI YANGU.
Achana na mambo ya kuweka mavitu mengi au mapambo mengi sebuleni kwako, angalia rangi zinazoendana na ukuta wako, epuka kuwa na rangi nyingi kwani zinapoteza mvuto wa sebule. fanya sebule yako iwe na nafasi ya kutosha kwani ni rahisi kufanya usafi na ni muhimu kiafya........
No comments:
Post a Comment