Wednesday, 23 October 2013

JINSI GANI YA KUPAMBA SEBULE (LIVING ROOM)










KWA MAONI YANGU.
Achana na mambo ya kuweka mavitu mengi au mapambo mengi sebuleni kwako, angalia rangi zinazoendana na ukuta wako, epuka kuwa na rangi nyingi kwani  zinapoteza mvuto wa sebule.  fanya sebule yako iwe na nafasi ya kutosha kwani ni rahisi kufanya usafi na ni muhimu kiafya........

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!