Mwandishi wa mtandao huu, Imelda Mtema, akiwapa misaada watoto hao ambayo ilitolewa na Msamaria Mwema.
WATOTO ambao hivi karibuni waliripotiwa kutelekezwa na wazazi wao eneo la Pugu, Kata ya Bangula Wilayani Ilala, wameanza kupata misaada kutoka kwa wadau mbalimbali waliosoma magazeti ya Global Publishers na mtandao huu.
Baba wa watoto hao mpaka sasa bado yuko mahabusu akikabiliwa na kesi ya kujifanya ni wakili na kuwatapeli watu mbalimbali huku watoto wake hao wakiishi maisha ya tabu sana ikiwa ni pamoja na kuacha shule.
PICHA: IMELDA MTEMA, GPL

No comments:
Post a Comment