Monday, 16 September 2013

KESI YA WATUHUMIWA WA DAWA ZA KULEVYA YAAHIRISHWA

 

Mwanaidi Mfundo (aliyejifunika) akitolewa mahakamani na kupelekwa mahabusu.
Mshitakiwa namba mbili katika kesi hiyo naye akirudishwa mahabusu.
...Akipakizwa kwenye gari.
...Ulinzi mkali.
Kesi ya dawa za kulevya inayomkabili Mwanaidi Mfundo na wenzake, leo ilikwama kuendelea na hatua ya ushahidi katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam baada ya upande wa Jamhuri kuiomba mahakama hiyo kuiahirisha ili ikawaweke sawa mashahidi wake. Hata hivyo upande wa utetezi kupitia wakili John Mapinduzi na wenzake walipinga kuahirishwa kesi hiyo lakini baada ya malumbano makali wakili hao na Jaji aliyekuwa akisikiliza kesi hiyo, Grace Mwakipesile walikubaliana kuahirisha kesi hiyo mpaka kesho.
(PICHA : RICHARD BUKOS / GPL)

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!