Raia wa Malawi
wakiwa katika foleni ya kuingia kujiandikisha katika Idara ya Uhamiaji,
Mkoa wa Dar es Salaam jana kuhusu zoezi linaloendelea la kuwatambua
wahamiaji haramu jijini Dar es Salaam. Mamia ya wakazi hao walimiminia
katika ofisi hizo kujiorodhesha ikiwa ni agizo la Rais Jakaya
Kikwete.
Akina mama na watoto wakisubiri kujiorodhesha.
No comments:
Post a Comment