Friday, 20 September 2013

SHEREHE YA KUSAINI MABALOZI WA HESHIMA NCHINI MAREKANI



Rais Dkt Jakaya Kikwete akiongea machache kuwashukuru Mabalozi wa Heshima kwa kukubali kwao kuitangaza Tanzania nchini Marekani na kusema sio kazi rahisi lakini ana Imani nao na aliwatakia kila la kheri ya kuwa na nia thabiti ya kuitangaza Tanzania nchini Marekani.

Balozi wa Jamhuri ya Muungano waTanzania nchini Marekani na Mexico Mhe.Balozi Liberata Mulamula,  akiwahutubia Mabalozi wa heshima Heshima Siku ya Jumatano Sept 18, waliposaini mikataba ya kuwa rasmi Mabalozi wa heshima wataowajibika kufanya kazi za wakiitangaza Tanzania nchini Marekani, uwekezaji wa Utalii na kuinua uchumi wa Tanzania.
Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa wa Tanzania Bernard Membe akitoa hotuba ya kuwapongeza mabalozi wa hiyari wa Tanzania.
Mhe. Balozi Liberata Mulamula akiwatambulisha Waheshimiwa Mabalozi wa  hiyari ndani ya Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania Jijini Washingto DC
Mhe. Balozi Liberata Mulamula na Heshima Mhe.  Kjell Bergh kutoka Jimbo la Minnesota  wakiweka saini ya mkataba wa ubalozi wa heshima watakao wajibika kufanya kazi za wakiitangaza Tanzania nchini Marekani,  uwekezaji wa Utalii na kuinua uchumi wa Tanzania
Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa wa Tanzania Mhe. Bernard Membe akimkabidhi mkataba wa Ubalozi wa Heshima Mhe. Kjell Bergh kutoka Minnesota baada ya kuweka saini mikataba ya kuwa rasmi Mabalozi wa heshima wataowajibika kufanya kazi za wakiitangaza Tanzania nchini Marekani,  uwekezaji wa Utalii na kuinua uchumi wa Tanzania
 
Waziri wa mambo ya nje Mhe. Bernard Membe akimkabidhi mkataba Balozi wa hiyari  Mhe. Susan kutoka Jimbo la  Louisiana  baada ya kuweka saini mkataba na kuwakilishwa rasmi kuwa balozi wa heshima. ndani ya Ofisi ya ubalozib wa Tanzania uliopo Jijini Washington DC
.
Waziri wa mambo ya nje Mhe. Bernard Membe akimkabidhi mkataba wa Ubalozi wa heshima Mhe. Robert Samuel Shumake  baada ya kuweka saini mikataba ya kuwa rasmi Mabalozi wa heshima.
Mhe. Balozi Liberata Mulamula na wakiweka saini ya mkataba na ubalozi wa heshima na Balozi wa hiyari  baada ya kuweka saini mkataba na kuwakilishwa rasmi kuwa balozi wa heshima. ndani ya Ofisi ya ubalozib wa Tanzania uliopo Jijini Washington DC
Waziri wa mambo ya nje Mhe. Bernard Membe  akimkabidhi mkataba wa Ubalozi wa heshima baada ya kuweka saini mikataba ya kuwa rasmi Mabalozi wa heshima.
Waziri wa mambo ya nje Mhe. Bernard Membe (watatu kushoto) na Mhe.Balozi Liberata Mulamula (wa tatu kulia) wakipata picha ya pamoja na Waheshimiwa Mabalozi wa  hiyari ndani ya Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania Jijini Washingto DC

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!