Habari
za kuachiwa kwa Agnes na mwenzake zilianza kusambaa jana baada ya Agnes
kuanza kupost picha katika akaunti zake za mitandao ya kijamii.
“Ni
kweli wameachiwa leo asubuhi. Lakini hatuwezi kuongelea kwa kina habari
hizi kwa sababu hatutaki matatizo na polisi. Hii kesi bado inaendelea
na wataendelea kubaki hapa hadi kesi yao itakapomalizika,” alisema mmoja wa marafiki zake.
Huku upande wa Instagram aliweka picha mpya zilizosindikizwa na captions “I
knw kuna watu mm kutoka imewwuma sana ila ninachosema mungu akipanga
chake binadamu hawez kupangua sasa polen sana wale wenye roho mbaya “.
ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Kupitia facebook Agnes aliandika:
“Thnanx
god nimeamini ww ulikuwa pamoja na mm katika maombi yangu na thnx
kwanwote mliokuwa mkiniombea mungu kapokea maombi yenu.”
Hizi ndio picha mpya ambazo Agnes Masogange alipost jana kupitia akaunti yake ya Instagram
Picha: Instagram:aggnesfineassgirl, Facebook: Agness Gerlad, Mellis Edward
Do you like this post? Please link back to this article by copying one of the codes below.
URL Of Post:
HTML Link Code:
BB (forum) link code:
No comments:
Post a Comment