Tuesday 20 August 2013

BILIONEA WA HOME SHOPPING CENTRE ALIYEMWAGIWA TINDIKALI ASHINDIKANA KUTIBIWA

                
Stori: Mwandishi Wetu

Hakika aliyemmwagia tindikali bilionea Said Mohamed Saad, alifanya kitendo kibaya kupitiliza, kwani athari ambazo amemsababishia ni kubwa kiasi ambacho hata upatikanaji wa tiba mahsusi umekuwa wa kutangatanga.
Rais Jakaya Kikwete akimjulia hali bilionea Said Mohamed Saad hospitalini.
Gazeti hili linazo taarifa za ndani na zenye uhakika kuwa Said ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Home Shopping Centre, amekimbizwa Ujerumani kwa matibabu zaidi baada ya kushindikana…
GPL

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!