Tuesday, 9 July 2013

SALAMU ZA DIAMOND KWA MAMA YAKE KATIKA SIKU YA BIRTHDAY YAKE

clip_image002Kila ninapowaza nikufanyie kitu gani naona  kama kidogo hakitoshi kwa jinsi shida,tabu ulizozipata  katika kunilea hadi leo kufikia hapa...ni Matatizo mengi sana, tena Saana hadi kila  niyakumbukapo najikuta ghafla machozi  yananitoka.…
Tazama hata hapa najikuta nakosa  cha kukiandika maana kila niliandikalo naona kama bado halitoshi  kuelezea Hisia, Upendo, Thamani na Heshima yangu Kwako...
Nakupenda sana Mama yangu, Mwenyezi Mungu akuzidishie Maisha marefu yenye Afya na furaha ili uzidi kuniongoza vyema Mwanao, Maana Bila wewe  Mbele kwangu ni kiza...
Happy Birthday Mama Nasibu
/2.bp.blogspot.com/-Xz5PIyPfBEQ/Udndcq53W8I/AAAAAAAAocc/9jk-O2soGek/s1600/diamond+.jpg">
 
 


No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!