Saturday, 13 July 2013

MUENDELEZO WA MAGONJWA 27 YANAYOWEZA KUTIBIKA KWA MCHANGANYIKO WA MDALASINI NA ASALI.


MDALASINI


ASALI.

MAAMBUKIZO KWENYE KIBOFU CHA MKOJO(BLADDER INFECTION)

Bilauri ya maji vuguvugu yaliyochanganywa na vijiko viwili {vya chai} vya mdalasini na kijiko kimoja
{cha chai} cha asali huondoa bacteria kwenye kibofu. Unaweza ukatumia juisi ya cranberry badala ya
maji ikiwa ambukizo la kibofu linakuwa sugu

MAUMIVU YA JINO(TOOTHACHE)

Changanya sehemu tano za asali, na sehemu moja ya mdalasini na tumia kwa maumivu ya jino.
Dondoshea kwenye jino au meno yaliyoathirika hadi maumivu yatakapotoweka.

VIDONDA VUTOKANANYO NA MGONJWA AU KULALA MUDA MREFU(CANKER SOPRES


Saladi ya kupaka vidonda iliyochanganywa na asali pamoja na mdalasini kwenye chai ya raspberry
nyekundu ni dawa nzuri ya kuondoa maumivu makali ya canker sores.



CHOLESTERAL
.
Kipimo cha helemu cha watu waliokuwa na afya nzuri {katika jaribio} kilishuka kwa wastani wa asilimia
10 katika muda pungufu ya masaa mawili baada ya kunywa bilauri moja {ounce 16} yenye vijiko viwili
vikubwa vya mdalasini iliyochanganywa na chai ya moto. Kinywaji hiki kutwa mara tatu kilifanya kazi
nzuri ya kushusha kiwango cha helemu mwilini.
Madhara yaletwayo na vyakula vyenye mafuta yanaweza kudhbitiwa kwa matumizi ya mara kwa mara
ya chai hii pamoja na chakula chako.


MAFUA(COLDS)


Mafua yameshaeleweka ya kwamba hupotea/huondoka baada ya masaa machache baada ya waathirika
kutumia kijiko kimoja {cha mezani} cha asali vuguvugu iliyochanganywa na robo kijiko{cha chai} cha
mdalasini, mchanganyiko huu ni mahususi katika kusaidia kuondoa chafya na kuvimba koo.


.MCHAFUKO WA TUMBO {UPSET STOMACH}

Asali imetambuliwa kwa kipindi kirefu kama dawa ifaayo kuondoa mchafuko wa tumbo pamoja na
kichefuchefu. Ongeza kiasi kidogo cha mdalasini na hii tiba ya kimaajabu vilevile itapunguza maumivu
yaletwayo na vidonda vya tumbo.

ESID-GESI-ACID-Co2. Hco3. Hcl.







Kula asali pamoja na mdalasini huweza kuondoa mchafuko wa tumbo na utumbo uletwao na gesi/acid
kwa mujibu wa uchunguzi mahsusi iliofanywa huko India na Japan



UGONJWA WA MOYO(HEART DISEASE)

Unaweza kukinga kupata ugonjwa wa moyo na kuzuia mkusanyiko wa mtandao wa mafuta kwenye
mishipa ya damu kwa kula asali na mdalasini mara kwa mara-kwa kupakaa wakati wa kifiingua kinywa.
Kula asali ya mkate wa ngano yenye nyuzinyuzi nyingi iliyopakwa kijiko kimoja {cha mezani} cha
mchanganyiko huo hapo juu kila siku. Tiba hii ya maajabu iliweza kupunguza kuganda kwa mishipa ya
damu kwa 74% ya wagonjwa waliokuwa katika nyumba za kutunzia wagonjwa - utafiti mmoja
ulionyesha







TUKUTANE TENA WIKI IJAYO KWA MUENDELEZO WA HABARI HII......


No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!