Monday 8 July 2013

KODI ILIYOWEKWA KWA WATUMIAJI WA SIMU ZA MIKONO WENGI WATASHINDWA KUENDELEA KUTUMIA SIMU ZA MOBILE.

Byta strömknappen iPhone 3gs  i gruppen Apple Reparation hos Mobilkoden.se (IP3GS-BSK)

Chama cha waendesha huduma za simu za mkononi nchini Tanzania kimesema zaidi ya watumiaji wake milioni 8 watashindwa kuendelea kutumia simu zao za mkononi kutokana na hatua ya serikali ya nchi hiyo kutoza kodi ya shilingi 1,000 kwa kila mtumiaji wa simu kwa mwezi. Kwa mujibu wa chama hicho, kati ya asilimia 48 ya wateja wake nchini humo, watu milioni 8 wanatumia kiasi kisichozidi 1,000 kwa mwezi. Tupatie maoni yako kuhusu kodi hiyo

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!