Saturday 6 July 2013

JITIBU MAGONJWA 27 KWA ASALI NA MDALASINI


Mdalasini 
Asali  
                       MDALASINI NA ASALI

Taswira  ya  mtu  anayesumbuliwa  na  tatizo  la  chunusi  ambalo  linaweza  kuondoka  kwa  kutumia  mdalasini  kama  makala  haya  yanavyo  elekeza. 
" MDALASINI NA ASALI vinaweza kukufanya uonekane kama picha yenye afya nzuri.
Asali inafahamika vema Duniani kote kama mojawapo ya silaha ya kiajabu katika kupigana na
magonjwa na matatizo yatokanayo na uzee.
Sasa hivi, utafiti mpya umeonyesha kwamba uwezo wa asali unaweza kuongezwa maradufu kama
itachanganywa na mdalasini wa kawaida.
Uchunguzi wa kina ufanywao kwa wiki na jarida la World News wa Tiba, wataalamu wa madawa
yatokanayo na mimea pamoja na kijarida cha afya na lishe, imeonekana kwamba kuna dazani nyingi za
umuhimu wa asali na mdalasini pamoja na michanganyiko {dawa} ya kusisimua iletayo afya bora.
Kama ifuatayo
 
  1. UGONJWA WA VIUNGO MAUMIVU NA UVIMBE(ARTHRITIS),
  2.   Wataalamu wa lishe wanapendekeza kuchukua kwa kutumia mchanganyiko wa sehemu moja ya asali
    pamoja na sehemu mbli za maji vuguvugu na kijiko kimoja {cha chai} chenye mdalasini - na kuchua
    sehemu zilizoathirika. Nafuu hupatikana katika muda wa dakika moja.
    Vinginevyo tengeneza chai-kikombe kimoja chenye maji moto, weka vijiko vya chakula -viwili vya
    asali kwa kijiko cha chai cha mdalasini. Kunywa asubuhi na jioni ili kuondoa maumivu
KUKATIKA KWA NYWELE.
 
 Asali ikishachanganywa na mdalasini pamoja na mafuta vuguvugu ya olive, hutoa kichocheo
maridhawa cha kuotesha nywele kinachotumika katika dawa ya Dork. Mchanganyiko huo vuguvugu
unapakwa kwa kusugua kichwani na kuachwa kwa dakika 15
 
 
 
UKUNGU  WA MIGUU (FUNGUS)
 
Wataalamu wa lishe wanapendekeza kuchukua kwa kutumia mchanganyiko wa sehemu moja ya asali
pamoja na sehemu mbli za maji vuguvugu na kijiko kimoja {cha chai} chenye mdalasini - na kuchua
sehemu zilizoathirika. Nafuu hupatikana katika muda wa dakika moja.
Vinginevyo tengeneza chai-kikombe kimoja chenye maji moto, weka vijiko vya chakula -viwili vya
asali kwa kijiko cha chai cha mdalasini. Kunywa asubuhi na jioni ili kuondoa maumivu.
 
ENDELEA KUWA NASI WIKI IJAYO KWA MUENDELEZO WA MATUMIZI NA FAIDA ZA MDALASINI NA ASALI................
 
 

3 comments:

Anonymous said...

Za leo dada,mimi nimetumia mchanganyiko wa asali na mdalasini kwa kuweka kwenye fizi mara kwa mara kwa lengo la kupata mtoto,nimeweka kwa wiki mbili mfululizo sasa ila sisikii ladha ya chakula na nimekosa kabisa hamu ya kula na ulimi umekuwa kama una vidonda. Naomba unisaidie nifanyeje?

Sophie mbeyu said...

Ningekushauri umuone daktari dear kwa tatizo hilo la vidonda mdomoni, na pia habari hiyo ya Asali na Mdalasini ni kutoka kwa Neema Herbalist, nitawasiliana nao kujua zaidi juu ya tiba hiyo, tafadhari nitumie email au namba ya simu ili niweze kukurudia kuhusiana na hilo.Tafadhari nitumie kwa sophiembeyu@msn.com

Anonymous said...

Asante dada nimekutumia email na namba ya simu

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!